AJALI / PICHA:-Tazama Picha 3 za uharibifu uliotokea baada ya Basi la Mwanza Coach kuligonga basi la J4 Express kwa nyuma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 06, 2015

AJALI / PICHA:-Tazama Picha 3 za uharibifu uliotokea baada ya Basi la Mwanza Coach kuligonga basi la J4 Express kwa nyuma.

Basi la J4 Express na Mwanza Coach zimegongana eneo la Rubana Mkoani Mara majira ya saa tisa ,September 03,2015 kwa Basi la Mwanza Coach kuligonga bus la J4 Express kwa nyuma. 

Katika tukio hilo, Kuna majeruhi na hakuna vifo. Ikumbukwe Mabasi hayo yalishagongana mwaka jana 2014 na kusababisha vifo. 

"Nimewasiliana na Afande Rto Mara ni kweli ajali imetokea basi la Mwanza Coach kuligonga basi la J4 Express kwa nyuma na kusababisha uharibifu wa magari, majeruhi watano,hakuna vifo".


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad