Mgombea
urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akikabidhi
hati ya Kiapo mapema leo August 19,2015,mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti
Kihiyo (katikati).
Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa
kusaini katika mahakama kuu jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mgombea
Mwenza, Samia Suluhu Hassan.
Mgombea
urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akisaini
hati ya Kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Hati
ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika
mahakamani hapo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia
Suluhu Hassan.
Mgombea
urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli
akipeana mkono na Jaji Sekieti Kihiyo mara baada ya kusaini hati ya
kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Hati ambayo
kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakamani hapo
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.
Baadhi
ya Waandishi wa habari wakiwa ndani ya moja ya chumba cha Mahakama Kuu
wakirekodi tukio la Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John
Pombe Magufuli sambamba na mgombea Mwenza,Samia Suluhu Hassan walipokuwa
wakisaini hati ya Kiapo mapema leo mchama Mahakamani Hapo mbele ya Jaji
Sekieti Kihiyo.
Mgombea
urais wa chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nje ya jengo la Mahakama
Kuu mara baada ya kusaini hati ya Kiapo mapema leo mchana.
Hati hiyo kila
mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini mahakamani hapo jijini Dar
es Salaam. BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
No comments:
Post a Comment