MATOKEO EPL 2015 / 2016:- Taswira Picha Arsenal wakifungwa leo August 09,2015 pamoja na Matokeo ya mechi zote za Ligi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 09, 2015

MATOKEO EPL 2015 / 2016:- Taswira Picha Arsenal wakifungwa leo August 09,2015 pamoja na Matokeo ya mechi zote za Ligi.

Kipa Cech akionekana hana jinsi baada ya Washika bunduki wa London –Arsenal leo Jumapili August 9, 2015 wameanza vibaya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza 2015 / 2016 baada ya kuchapwa mabao 2-0 na West Ham United Uwanja wa Emirates .

Cheikhou Kouyate alianza kufunga akitumia makosa ya kipa Petr Cech kuipatia West Ham bao la kwanza dakika ya 43, kabla ya Mauro Zarate kufunga la pili dakika ya 57.

Nao Liverpool kupitia kwa mchezaji wao  Mbrazil Philippe Coutinho katika Dakika ya 86 ,wakashinda bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Stoke City katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Msimu huu huko Britannia Stadium, Uwanja ambao walipigwa 6-1 na Stoke City katika Mechi yao ya mwisho kabisa ya Ligi Kuu Uingereza Msimu uliopita 2014 / 2015.

LIGI KUU ENGLAND 2015 / 2016 -RATIBA/MATOKEO.

Jumamosi Agosti 8,2015.

Man United 1 – 0 Tottenham  

Bournemouth 0 – 1 Aston Villa

Everton 2 – 2  Watford             

Leicester 4 – 2 Sunderland      

Norwich 1 – 3 Crystal Palace   

Chelsea 2 – 2 Swansea City

Jumapili Agosti 9,2015.

Arsenal 0 – 2 West Ham  
        
Newcastle 2 – 2 Southampton  
         
Stoke 0 – 1 Liverpool

LIGI KUU ENGLAND 2015 / 2016 -RATIBA/MATOKEO .

Jumatatu Agosti 10,2015.

2200 West Brom v Man City   
               
Ijumaa Agosti 14,2015.

2245 Aston Villa v Man United  
  
Jumamosi Agosti 15,2015.

1445 Southampton v Everton   
            
1700 Sunderland v Norwich  
                
1700 Swansea v Newcastle 
          
1700 Tottenham v Stoke  
          
1700 Watford v West Brom   
       
1700 West Ham v Leicester      
             
Jumapili Agosti 16,2015.

1530 Crystal Palace v Arsenal  
   
1800 Man City v Chelsea    
        
Jumatatu Agosti 17,2015.

2200 Liverpool v Bournemouth 














Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad