MAENDELEO YETU:-Taswira Picha wakati Tawi la Benki ya Mkombozi ikizinduliwa rasmi Mkoani Kilimanjaro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 25, 2015

MAENDELEO YETU:-Taswira Picha wakati Tawi la Benki ya Mkombozi ikizinduliwa rasmi Mkoani Kilimanjaro.

Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jengo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi,mkoani Kilimanjaro wakati wa ufunguzi rasmi wa Benki hiyo.…Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi.


Muonekano wa Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.



Mashine za ATM zilizoko katika Benki hiyo…Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu Isaac Aman mara baada ya kufungua tawi hilo mjini Moshi...BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.

PAPO KWA PAPO Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad