KATIBA YETU:-Hii ni idadi ya wasiomkubali Rais Kagame kuendelea kubaki madarakani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 11, 2015

KATIBA YETU:-Hii ni idadi ya wasiomkubali Rais Kagame kuendelea kubaki madarakani.

Rais wa Rwanda ,Bw.Paul Kagame.

Rais wa Rwanda Paul Kagame aliingia madarakani tangu mwaka 1994 na anatarajia kumaliza muda wake mwaka 2017.

 Gazeti ya News Times kupitia kwa wachambuzi wa kisheria limesema kuwa kati ya watu milioni 3.7 kati yao ni watu 10 tu waliopinga Kagame kuwania Urais kwa muhula wa tatu.

Katiba ya nchi hiyo inaruhusu Rais kuongoza kwa mihula miwili tu.

April mwaka huu 2015 , Taifa la Burundi liliingia kwenye mgogoro wa kisiasa baada ya Rais Pierre Nkurunzinza kuwania muhula watatu kinyume na katiba ya nchi hiyo.

 Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad