|
Akimshukuru
Mheshimiwa Waziri Mkuu, Paroko wa Parokia ya Usevya wilayani Mlele, Padri
Aloyce Nchimbi aliwaasa wananchi wa Wilaya ya Mlele kumuenzi Mheshimiwa Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda hata atakapokuwa amestaafu kwani bado watahitaji busara na
uzoefu wake katika kujiletea maendeleo.
Waziri Mkuu
yuko kijijini kwake Kibaoni, wilayani Mlele kwa ajili ya mapumziko mafupi.
IMETOLEWA NA
OFISI YA
WAZIRI MKUU,
JUMAPILI,
JULAI 19, 2015.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Monday, July 20, 2015
UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015:-Waziri mkuu mizengo Pinda akataa Kugombea tena Ubunge.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.








No comments:
Post a Comment