Baada ya mchakato wa kuwania Urais, sasa vita
ya Uchaguzi Mkuu 2015 imehamia kwenye Ubunge na Udiwani hasa kutoka katika
vyama vikubwa vya CCM kinachotawala na CHADEMA kinachoongoza Upinzani.
Hadi jana Julai 19,2015, ambayo ilikuwa ni
siku ya mwisho kwa Chama cha Mapinduzi CCM kuchukua na kurejesha fomu.
JIMBO LA NGARA,MKOANI KAGERA .
Walioomba ridhaa ya CCM ni Wagombea 9 ambao
ni:-
Dr.Philmoni Sengati.
Cyprian Muheranyi.
Bi.Hellena Adrian Ghozi.
Wilbard Eden Ntamahungiro.
Alex Rafael Gashaza.
Jerad Muhile.
Joachim Nchunda.
Issa Samma.
Na – Ladislaus Bambanza.
Kwa upande wa Madiwani waliochukua fomu na
kurudisha ndani ya CCM, Jumla yao ni 62,waliopita bila kupingwa ndani ya kata
zao kupitia CCM ni:-
Kata ya Kasulo – Philbert Kiiza.
Kata ya Murusagamba - Soud Mkubila.
Kata ya Bugarama – Adronizi Bulindoli.
Kata ya Murukulazo – Mukiza Byamungu.
Mara baada ya zoezi hilo kukamilika,kwa
upande wa nafasi za Ubunge na Udiwani ,Kampeni za ushawishi kwa wanachama wa
CCM kwenye matawi zitafanyika kuanzia tarehe
20 mpaka 31 Julai 2015 ambapo kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea
katika ngazi hizo zitapigwa sambamamba tarehe
1/08/2015. |
No comments:
Post a Comment