![]() |
|
Msafara wa
bodaboda uliowapokea Mh Esther Bulaya na Mh James Lembeli walipofika Bunda hapo Jana Julai 23,2015 kwa
ajili ya kuhutubia mkutano mkubwa Jimboni Bunda.
|
![]() |
|
Mh Esther
Bulaya akisalimiana na Viongozi wa Chadema Bunda waliokuja kuwapokea.
|
![]() |
|
Mbunge wa
Viti Maalumu wa CCM aliyehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Ester Bulaya akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi
ya zamani Mjini Bunda mkoani Mara.
|
![]() |
|
Umati wa
wananchi wa Mji wa Bunda na viunga vyake, wakiwa katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye Stendi ya zamani ya mabasi mjini Bunda jana, uliohutubiwa
pia na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya na mwenzake wa Kahama, James
Lembeli waliotoka CCM na kuhamia Chadema.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|











No comments:
Post a Comment