TASWIRA PICHA:-Dr. Magufuli alivyopokelewa Kibaigwa Asubuhi hii July 24, 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 24, 2015

TASWIRA PICHA:-Dr. Magufuli alivyopokelewa Kibaigwa Asubuhi hii July 24, 2015.

 Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma asubuhi hii July 24, 2015, wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Geita.
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad