![]() |
|
Mgombea
kupitia chama cha Demokrasia na maendelao (CHADEMA)Noel Olevaroya akizungumza
mara baada ya kutangazwa kushika nafasi ya pili
kwa kupata kura 13 sawa na asilimia 4.74% katika kinyang"anyiro
hicho ambapo aliwashukuru wajumbe wa mkutano huo na kuhaidi kumpa Mbunge Lema
shilingi laki tano kwaajili ya kampeni ya kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi wa kishindo… Picha
zaidi BOFYA HAPA
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Sunday, July 26, 2015
KURA YA MAONI CHADEMA 2015:-Godbless Leman a Joyce Mukya Kupeperusha Jimbo la Arusha.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.








No comments:
Post a Comment