![]() |
|
Grayson
Kweka, mkazi wa Kwa Sadala, wilayani hapa alisema, “Huyu dereva wa Fusso
alikuwa amepakia mchele na alikuwa akielekea Moshi Mjini, alipofika karibu na
daraja la mto Kikavu, lori lilimshinda kutokana na mwendo kasi aliokuwa nao na
hivyo kuigonga Hiace na kuua abiria watano papo hapo, akiwamo kondakta wa basi
hilo.”
Afisa habari
na mahusiano wa KCMC, Gabriel Chisseo aliiambia NIPASHE kuwa walipokea majeruhi
saba wa ajali hiyo, wakiwa katika hali mbaya na kulazimika kuingizwa katika
chumba maalum cha upasuaji.
Aliwataja
majeruhi waliolazwa hospitalini hapo kuwa ni Haji Mdangiwa, Fred Urassa, Levina
Mnyampanda, Jenista Unonu, Antonia Msaki, Hawa Hamis na Julieth Massawe.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Saturday, July 18, 2015
Home
HABARI
AJALI / PICHA:- Watu watano wamekufa papo hapo na wengine 11 wakiwa mahututi, baada ya lori la mizigo Mitsubish Fusso, kuigonga Hiace Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
AJALI / PICHA:- Watu watano wamekufa papo hapo na wengine 11 wakiwa mahututi, baada ya lori la mizigo Mitsubish Fusso, kuigonga Hiace Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.









No comments:
Post a Comment