TASWIRA PICHA:-Kagera Press Club ilivyotoa Msaada Vituo vya Watoto yatima Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, May 30, 2015

TASWIRA PICHA:-Kagera Press Club ilivyotoa Msaada Vituo vya Watoto yatima Bukoba.

Msaada huo uliotolewa hivi karibuni katika vituo viwili vya kulelea watoto yatima na wanaoishi Mazingira Magumu vya Nusuru na Yacho ni pamoja na Mchele,Unga,Sukari,Mafuta ya Kula ,Sabuni na Madaftari.



BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.....Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad