UHALIFU:-Hii ndio Taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kuhusu Tukio la Majambazi kuua na Kupora Fedha April 20,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 22, 2015

UHALIFU:-Hii ndio Taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kuhusu Tukio la Majambazi kuua na Kupora Fedha April 20,2015.

Majambazi yaliyokuwa na silaha yalivamia gari mali ya Kampuni ya Bonite na kuwamiminia risasi dereva wa gari hilo  na mlinzi wa Kampuni hiyo  kisha kupora fedha na kutokomea kusikojulikana.

 Taarifa zinadai kuwa dereva na mlinzi wa gari lililoshambuliwa walifariki palepale kutokana na kupigwa risasi nyingi sehemu mbalimbali za miili yao.
Tukio hilo limetokea April 20, 2015 mjini Moshi ambapo majambazi wanne waliokuwa kwenye pikipiki walivamia gari la Bonite lililokuwa likitoka kuchukua pesa za mauzo ya kampuni hiyo.
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


2 comments:

Post Bottom Ad