![]() |
|
EPL 2014/2015.
Huko White
Hart Lane, Christian Benteke wa Aston Villa aliwanyamazisha Wenyeji Tottenham
kwa kufunga Bao pekee na la ushindi katika Dakika ya 35 kwenye Mechi ambayo
Villa walimaliza Mtu 10 baada ya Carlos Sanchez Moreno kutolewa mwishoni kwa
Kadi Nyekundu kufuatia Kadi za Njano 2.
Southampton,
wakicheza Nyumbani, waliichapa Hull City Bao 2-0 kwa Bao za James Ward-Prowse,
kwa Penati, na Graziano Pele.
Nao Wenyeji
West Bromwich Albion walichapwa 3-2 na Timu ya Mkiani Leicester City ambayo Bao
lake la 3 na la ushindi lilifungwa Dakika za Majeruhi na James Vardy.
Bao nyingine
za Mechi hiyo zilifungwa na Fletcher na Craig Gardner kwa WBA na David Nugent
na Huth kwa Leicester.
LIGI KUU ENGLAND RATIBA/MATOKEO.
Jumamosi Aprili 11,2015.
Swansea 1 –
1 Everton
Southampton
2 – 0 Hull
Sunderland 1
– 4 Crystal Palace
Tottenham
0 – 1 Aston Villa
West Brom 2 –
3 Leicester
West Ham 1 -
0 Stoke
1930 Burnley
v Arsenal
Jumapili Aprili 12,2015.
1530 QPR v
Chelsea
1800 Man
United v Man City
Jumatatu Aprili 13,2015.
2200
Liverpool v Newcastle
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Saturday, April 11, 2015
Home
MICHEZO
MECHI ZA LEO April 11, 2015:-Tazama Picha na Matokeo / Ratiba za Ligi kuu La Liga,EPL na Bundesliga 2014/2015.
MECHI ZA LEO April 11, 2015:-Tazama Picha na Matokeo / Ratiba za Ligi kuu La Liga,EPL na Bundesliga 2014/2015.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.











No comments:
Post a Comment