LIGI KUU VODACOM 2014/2015:- Azam FC yarejea Uongozini baada ya kuifumua Mtibwa bao 5 leo February 11,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, February 11, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:- Azam FC yarejea Uongozini baada ya kuifumua Mtibwa bao 5 leo February 11,2015.

Timu  ya Azam FC ambao ni  Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara 2014/2015, wamerejea kwenye uongozi wa Ligi hiyo baada ya kuibamiza Mtibwa Sugar Bao 5-2 katika mechi ya Ligi Kuu Bara leo Februari 11,2015 jioni,mechi  iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam .

 Hadi Mapumziko Azam FC walikuwa mbele kwa Bao 3-1 kwa Bao za Kipre Tchetche, Frank Domayo na Didier Kavumbagu huku Bao la Mtibwa Sugar likipachikwa na Musa Nampaka.

Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Musa Nampaka na Ameir Ally.

Hivi sasa kileleni Azam FC imefungana kwa Pointi  na Yanga SC, wote wakiwa na Pointi 25 kwa Mechi 13 lakini Azam FC wako juu kwa Ubora wa Magoli.

Ligi Kuu Vodacom itaendelea Wikiendi kwa Mechi kadhaa bila ya Azam FC na Yanga kushiriki kwa vile wana Mechi za Klabu Barani Afrika za Mashindano ya CAF.

RATIBA VPL 2014/2015.

Jumamosi Februari 14,2015.

Ndanda FC v Mtibwa Sugar                 

Coastal Union v Mbeya City                 

Stand United v Mgambo JKT                

Jumapili Februari 15,2015.

Polisi Morogoro v Simba

Kagera Sugar v JKT Ruvu

MSIMAMO VPL 2014/2015.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
13
7
4
2
22
12
 
10
25
2
Yanga
13
7
4
2
15
7
 
8
25
3
Polisi Moro
14
4
7
3
12
11
 
1
19
4
JKT Ruvu
14
5
4
5
14
14
 
0
19
5
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11
 
-1
19
6
Mtibwa Sugar
13
4
6
3
15
14
 
1
18
7
Coastal Union
14
4
6
4
10
9
 
1
18
8
Kagera Sugar
14
4
6
4
11
11
 
0
18
9
Simba
13
3
8
2
13
11
 
2
17
10
Mbeya City
13
4
4
5
9
11
 
-2
16
11
Ndanda FC
14
4
3
7
13
18
 
-5
15
12
Mgambo JKT
12
4
2
6
6
11
 
-5
14
13
Stand United
14
2
6
6
9
17
 
-8
12
14
Tanzania Prisons
13
1
8
4
10
12
 
-2
11

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad