FA CUP:-Matokeo Picha Liverpool ikitinga Robo Fainali ,Leo Jumapili ni Bingwa Mtetezi Arsenal v/s Middlesbrough kufuzu.?? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 15, 2015

FA CUP:-Matokeo Picha Liverpool ikitinga Robo Fainali ,Leo Jumapili ni Bingwa Mtetezi Arsenal v/s Middlesbrough kufuzu.??

Jana Februari 14,2015,usiku Limverpool imeungana na West Bromwich Albion, Blackburn Rovers na Reading kutinga Robo Fainali ya FA CUP baada ya kushinda Mechi zao za Raundi ya 5.

 Wakicheza huko Selhurst Park, Liverpool walitanguliwa kwa Bao la Dakika ya la Fraizer Campbell lakini Bao za Kipindi cha Pili za Daniel Sturridge na Adam Lallana zikawapa ushindi wa Bao 2-1.
 



Mechi za Raundi ya 5 za FA CUP zitaendelea hii Leo Februari 15,2015 kwa Mechi 3 na kumalizika Jumatatu Usiku kwa Mechi moja.

FA CUP RAUNDI YA 5.

Jumapili Februari 15,2015.

1530 Aston Villa v Leicester City

1730 Bradford City v Sunderland

1900 Arsenal v Middlesbrough

Jumatatu Februari 16,2015.

2245 Preston North End v Manchester United

TAREHE ZA RAUNDI.

-Raundi ya 6 [Robo Fainali]: 7 Machi 2015

-Nusu Fainali: 18 & 19 Aprili 2015

-Fainali: 30 Mei 2015

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad