UKUWAJI WA TEKNOLOJIA:-Sasa simu imepewa nguvu kufanya ulinzi wa begi lako ukiwa safarini! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, January 07, 2015

UKUWAJI WA TEKNOLOJIA:-Sasa simu imepewa nguvu kufanya ulinzi wa begi lako ukiwa safarini!

Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.

 Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.

Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia hii huongeza  usalama zaidi.
Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu, pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.

Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.


Hii ndio lock yenyewe ya eGeeTouch.


Nimekuwekea Video ya maelekezo ya lock hiyo inavyofanya kazi....BOFYA HAPA KUJIFUNZA ZAIDI

 UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad