Mkurugenzi
wa PARADISE HOTEL ya mjini Ngara,mkoani Kagera Bw.William (katikati) akigawa zawadi ya
Utumishi bora kwa mmoja wa Wafanyakazi wa Hotel hiyo wakati Wafanyakazi na Wadau
wa Huduma za Hotel hiyo walipoungana na Watanzania wenzao na mataifa
mengine Duniani katika kusherekea mwaka mpya 2015 katika Ukumbi wa PARADISE
mjini Ngara katika Halfa fupi ya FAMILIA DAY Desemba 31,2014 ilioandaliwa na
PARADISE HOTEL kwenye ukumbi wa PARADISE mjini Ngara.
Pamoja na
Uongozi wa Hotel hiyo kutoa zawadi kwa wafanyakazi wake,kutoa fursa ya Ajira
kwa Vijana mkoani Kagera ,amewataka Wafanyakazi hao kufanya kazi kwa bidii na
weledi ili kufika kwenye mafanikio mwaka
2015 ya kutoa Huduma bora Zaidi ya chakula kwa Wateja.
Amesema Hotel yao inatoa huduma mbalimbali za chakula kwa wakazi wa wilaya ya Ngara na Wageni sambamba na kuhudumia Mikutano mbalimbali,Makampuni,Mashuleni,Shughuli mbalimbali za Kiserikali na Harusi kwa gharama nafuu ambapo utaletewa ndani ya kilometa 5 kwa usafiri wa Hotel hiyo kwa bei hiyo hiyo ya Mahitaji ya Huduma.
WASILIANA NAO SASA:-Mkurugenzi- +255756044304 / +787370633.
EMAIL:- willema26@yahoo.com / rgtradingco1@gmail.com
|
No comments:
Post a Comment