AJALI:-Tazama Picha 4 za Lori lililokuwa na Bidhaa za Dukani likipata Ajali katika ya Geita na Katoro mkoani Geita na Kujeruhi Dereva na Utingo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 09, 2015

AJALI:-Tazama Picha 4 za Lori lililokuwa na Bidhaa za Dukani likipata Ajali katika ya Geita na Katoro mkoani Geita na Kujeruhi Dereva na Utingo.


Ni ajali iliyotokea hii leo Januari 09,2015 katikati ya Geita na Katoro/Buseresele mkoani Geita baada ya Lori Pichani lililokuwa na Shehena ya bidhaa za Dukani kuchomoka tela la mbele na hivyo kupelekea Dereva kushindwa kulimudu gari hilo.

Hakuna kifo chochote kilichoripotiwa Zaidi ya Dereva na Tingo ambao majina yao hayakuweza kupatikana haraka kupata majeraha kiasi.Picha Na:-Mwana wa Makonda WhatsApp..+255789925630.



  UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad