LA LIGA 2014/2015:Ronaldo na goli 17 wakati Real Madrid ikishinda 4-0 dhidi ya Granada. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 01, 2014

LA LIGA 2014/2015:Ronaldo na goli 17 wakati Real Madrid ikishinda 4-0 dhidi ya Granada.

Cristiano Ronaldo, Leo November 01,2014, amefunga Bao moja huku akitengeneza jingine na kuendeleza wimbi lake lake la kufunga kila Mechi kwa Mechi 12 sasa wakati Real Madrid inashinda ugenini kwa kuitandika Granada Bao 4-0.


Ushindi huu umewakweza Real hadi kileleni mwa La Liga lakini Barcelona wanaweza kurudi tena juu ikiwa watashinda Mechi yao ya Nyumbani Nou Camp baadae Leo na Celta Vigo.

Cristiano Ronaldo alifunga Bao lake Dakika ya Pili tu na James Rodrigueza kufunga 2 Dakika za 31 na 87 na Karim Benzema kufunga Dakika ya 54.

Real Madrid have scored 17 times in their last four La Liga matches

Karim Benzema and Cristiano Ronaldo both scored once with two assists, while James Rodriguez scored twice

James Rodriguez scored his third and fourth La Liga goals for Real Madrid since his move from Monaco

MSIMAMO-Timu za Juu LA LIGA 2014/2015.

NA
Team
GP
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
 
1
Real Madrid
10
8
0
2
37
10
27
24
 
2
Atletico Madrid
10
8
1
1
23
3
20
23
 
3
Barcelona
9
7
1
1
17
9
8
22
 
 









 










Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad