![]() |
Ajali hii imehusisha
magari matatu na kupoteza maisha ya watu zaidi ya watu 38 hadi sasa huku
majeruhi wakiwa ni wengi Zaidi ya 80 na Madereva wote wamefariki dunia.
|
![]() |
Basi la Kampuni ya MWANZA COACH lililokuwa likitokea Musoma kwenda
Mwanza linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi la Kampuni ya J4
EXPRESS.
![]()
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
|
![]() |
……….Wananchi
wakiangalia bas la Mwanza Coach…………….
|
![]() |
Askari Polisi wakitoa miili ya watu wawili waliokuwemo kwenye gari hiyo.
Picha zote na Mwanawamakonda WhatsApp
+255789925630.
|
No comments:
Post a Comment