13.
Pitbull: $12 million
Akiwa
amefanya show zaidi ya 50 , Pitnull ana kila sababu ya kuingia kwenye hii list.
Pia mikataba yake ya kibiashara na Kodak, Dr. Pepper, Voli vodka and
Budweiser inachangia utajiri wake.
12. Wiz Khalifa: $13 million
Album mpya
ya Wiz Khalifa , Blacc Hollywood ilishika namba moja katika
album bora 200 za billboard. Khalifa naye amefanya show zaidi ya 50.
11. Nicki
Minaj: $14 million
Ndio
mwanamkee pekee kwenye hii list . Pamoja na kutolewa kwenye mkataba mnene na
kipindi cha American Idol na pamoja na kutokua na show ningi , Nicki bado
ameweza kuingia kwenye list hii. Anapata pesa nyingi kutoka kwenye mikataba ya
kibiashara na kampuni kama Mac, OPI na Pepsi huku
akimiliki pefume yake ya Myx moscato.
10.
Eminem: $18 million
Japokua hana
mikataba ya kibiashara kama wasanii wengine , Eminem anaingiza pesa kutoka
kwenye show zake na mauzo ya nyimbo zake.
9.
Pharrell Williams: $22 million
Pharell
anapata pesa kupitia fashion , pia na mauzo ya nyimbo zake kali kama “Get
Lucky” , “Blurred Lines” na ngoma ya “Happy”.
8. Lil
Wayne: $23 million
Wayne
ameingiza pesa nyingi kupitia shows huku akifanya zaidi ya 56 ambapo anaendelea
kufanya hivyo siku za karibuni kwa kufanya show na drake zinazoitwa zenye
maudhui ya game ya Street Fighter.
7.
Birdman: $24 million
Birdman anaingia pesa zake kutokana na music label yake ya Cash Money.
6. Kanye
West: $30 million
Upende au
uchukie hamna wa kubisha kwamba Kanye West ni mmoja ya watu wenye ushawishi
mkubwa kwenye sekata ya burudani. Tour yake ya Yeezus imeongeza pesa
zake kwa zaidi ya asilimia 50.
5.
Macklemore & Ryan Lewis: $32 million
Jamaa hawa
walianza mwaka 2014 vizuri baada ya kubeba Grammy awards 4 kati ya saba
ambazo walikua nominated. Umaarufu wao kwenye mziki ndio umewafanya wazidishe
zaidi ya mara tatu utajiri wao kutoka millioni 9 mwaka jana.
4. Drake:
$33 million
Album yake
ya nne , Nothing Was the Same imeuza copy zaidi ya milioni 4
dunia nzima. Pia Arena Tour na mikataba ya kibiashara na Nike Air Jordan
imefanya utajiri wake uongezeke mara atu kutoka ule wa mwaka jana wa milioni
10.5
2. Diddy:
$60 million (Wamelingana)
Kwa zaidi ya
miaka 20 kwenye muziki, Diddy bado anaendelea kuingiza pesa zaidi. Mkataba wake
na Diageo’s Ciroc vodka umechangia sana kipato chake mwaka huu.
Lakini pia anapata pesa nyingi kutokana na biashara nyingine
kama DeLeon tequila, Blue Flame marketing, Sean Jean clothing,
na Revolt TV.
2. Jay-z:
$60 million (Wamelingana)
Huku
akimiliki label ya Roc Nation, Jay-z amefanya show zaidi ya 65. Pia mauzo ya
album yake yaliyoenda platinum baada ya samsung kununua copy millioni moja.
1. Dr.
Dre: $620 million
Ashukuru baada ya kampuni ya Apple kununua Beats . Hawa jamaa wengine 19
waliopita tukizidisha utajiri wao bado hawamfikii Dr Dre. Duh ! jamaa ametisha
sana.
|
No comments:
Post a Comment