MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA:- Yasome hapa pamoja na yale ya Ualimu 2014 huku Shule ya Tambaza na Iyunga Tech zikiwa mkiani! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 16, 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA:- Yasome hapa pamoja na yale ya Ualimu 2014 huku Shule ya Tambaza na Iyunga Tech zikiwa mkiani!


Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka…ambapo Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA.
 
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO.
 
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe

Kuona matokeo pitia hapa: http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm

========

BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UALIMU 2014  

MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad