MAJONZI:- Tazama Taswira ya Basi la Kampuni ya Japanese likitumbukia mtoni mkoani Njombe.’ - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, July 06, 2014

MAJONZI:- Tazama Taswira ya Basi la Kampuni ya Japanese likitumbukia mtoni mkoani Njombe.’

Basi la Kampuni ya Japanese lenye namba za usajili T 261 CMK aina ya YUTONG likiwa limetumbukia mtoni na kusababisha abiria kadhaa waliokuwa wakisafiri na basi hilo kutoka Ikonda wilayani Makete kwenda Makambako mkoani Njombe kujeruhiwa.
Taarifa toka eneo la tukio zinasema hakuna abiria aliyepoteza maisha na majeruhi wote waliwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidi. Ajali hiyo imetokea jana (Julai 05,2014) majira ya saa nane mchana.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad