KAMPUNI YA RELI TANZANIA:-Tazama Mabehewa 25 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3 kutoka Nchini India yaliyopokelewa na Serikali. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 25, 2014

KAMPUNI YA RELI TANZANIA:-Tazama Mabehewa 25 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3 kutoka Nchini India yaliyopokelewa na Serikali.

Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania,Dk.Harrison Mwakyembe (kulia), akiangalia moja ya mabehewa kati ya mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.3 aliyoyapokea kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industriles Limited ya India, Dar es Salaam jana, kwa ajili ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu.


Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania ,Dk.Harrison Mwakyembe (katikati), akifurahia jambo wakati wa kupokea mabehewa hayo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk.Shaaban Mwinjaka.

Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu (mwenye tai kushoto),akimuelekeza jambo Waziri Mwakyembe.

Wafanyakazi wa  Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) na wa TRL wakishusha toka katika meli moja ya mabehewa hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad