UFUNGUZI WA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014:- Haya ndio yaliyojiri kwa wasanii Jennifer Lopez , Pitbull na Claudia Lettie kufunika na wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, June 13, 2014

UFUNGUZI WA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014:- Haya ndio yaliyojiri kwa wasanii Jennifer Lopez , Pitbull na Claudia Lettie kufunika na wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)'


Mwanamuziki Jennifer Lopez aka J-Lo,Claudia Leitte na PitBull wakipagawisha mashabiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 kabla ya mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa Kundi A baina ya Brazil na Croatia usiku wa June 12, 2014 kwenye Uwanja wa Corinthians mjini Sao Paulo na Brazil kushinda bao 3-1.

Jennifer Lopez akiimba wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' pamoja na Pitbull na Claudia Lettie pichani.


Jennifer Lopez akiimba wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' wakati wa ufunguzi wa fainali hizo June 12,2014 nchini Brazil.





.........Shabiki wa Brazil akibusu mfano wa Kombe la Dunia..........



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad