KOMBE LA DUNIA 2014:- Colombia yaipoteza Uruguay kwa 2-0 –sasa Uso kwa Uso na wenyeji Brazil Robo fainali Julai 4,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 29, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:- Colombia yaipoteza Uruguay kwa 2-0 –sasa Uso kwa Uso na wenyeji Brazil Robo fainali Julai 4,2014.

Magoli ya James Rodriguez katika dakika ya 28 na 50 usiku wa June 28, 2014,yameiwezesha Timu ya Taifa ya Colombia kutinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu kwa kufainikiwa kuifunga Uruguay 2-0.

 


Sasa Colombia watakutana na wenyeji Brazil katika Robo Fainali, ambao wameitoa Chile katika mchezo uliotangulia kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120. Rodriguez sasa anakaa mguu sawa katika mbio za kiatu cha dhahabu cha michuano hiyo, akitimiza mabao manne na pia ametoa pasi nne za mabao.

Colombia iliyoongoza Kundi C ilipokuwa pamoja na Ugiriki, Ivory Coast na Japan ilicheza soka maridadi na kuipoteza kabisa Uruguay iliyofuzu kama mshindi wa pili wa Kundi D nyuma ya Costa Rica.

Mchezaji James Rodriguez ndiye shujaa wa Colombia wakati Uruguay ilionekana wazi kuathiriwa na kumkosa mshambuliaji wake tegemeo, Luis Suarez aliyefungiwa mechi tia za kimataifa na miezi minne kwa ujumla kutojihusisha kabisa na soka, baada ya kumng’ata begani beki wa Italia Giorgio Chillaini katika mchezo wa mwisho wa Kundi D.





KOMBE LA DUNIA
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
**Saa za Bongo.
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil 1 - 1  Chile - Penati 3-2
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia 2 - 0 Uruguay
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Greece
Pernambuco
Recife
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
France v Nigeria
Nacional
Brasilia
2300
54
Germany v Algeria
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
Argentina v Switzerland
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
Belgium v USA
Fonte Nova
Salvador







ROBO FAINALI -IJUMAA, JULAI 4, 2014.


SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Mshindi 53 v Mshindi 54 [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

2300
Brazil v Mshindi 50 [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza

JUMAMOSI, JULAI 5, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Mshindi 55 v Mshindi 56 [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia

2300
Mshindi 51 v Mshindi 52 [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador


NUSU FAINALI -JUMANNE, JULAI 8, 2014.


SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte

JUMATANO, JULAI 9, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo


MSHINDI WA TATU -JUMAMOSI, JULAI 12, 2014.


SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia


FAINALI-JUMAPILI, JULAI 13, 2014.


SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad