UTALI:-Tazama Picha 7 za Vivutio na Utapenda kutembelea uwapo wilaya ya Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 24, 2014

UTALI:-Tazama Picha 7 za Vivutio na Utapenda kutembelea uwapo wilaya ya Ngara mkoani Kagera.


Wilaya ya Ngara ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kagera. ..Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 334,939 na Unapofika katika wilaya hii Pamoja na kuwa na Mpaka wa Kabanga unaounganisha Nchi ya Burundi,Lakini uwepo wa kituo cha Radio Kwizera FM na Maporomoko na Daraja la Rusumo linalounganisha nchini ya Tanzania na Rwanda ni Kivutio kikubwa sana kukitazama,kama Picha zinavyoonesha.


Muonekano wa daraja jipya la Rusumo linalojengwa kwa sasa ili kutumika kuunganisha nchini ya Tanzania na Rwanda baada ya Lile la awali kukaa kwa muda mrefu .

...Uwepo wa Maporomoko haya ya Rusumo ni raha kuyatazama........

Picha juu na Chini ni Jengo la Kituo cha Matangazo cha Radio Kwizera FM kinachorusha matangazo yake saa 24 kupitia 97.9 FM-Ngara,93.6 FM-Kibondo/Kakonko,94.2 FM-Kasulu/Buhigwe/Uvinza/Kigoma na kupitia mtandao wa Interneti(www.radiokwizera.com na www.radiostationstz.com)pamoja na Matangazo yake kuwa msaada mkubwa kwa Jamii lakini pia Jengo lake ni Kivutio tosha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad