 |
|
Jonas Mkude
akimpongeza Tambwe baada ya kufunga bao
mbili na kufikisha sasa magoli 19 msimu
huu wa Ligi Kuu Tanzania bara na moja la Haruna Chanongo zimewapa Simba ushindi
wa Bao 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Mechi ya , Ligi Kuu Vodacom
iliyochezwa Jana March 02,2014, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
|
 |
|
Mshambuliaji wa Simba Amri Kiemba, akijaribu kufunga bao katika
mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es
Salaam.
|
 |
|
Kocha Mkuu wa Simba Logarusic, akiwaelekeza wachezaji wake kama
ilivyokawaida yake ambapo katika mchezo huo Simba ilishinda Bao 3-2 dhidi ya
Ruvu Shooting.
|
 |
|
Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya bao la simba SC baada ya jana March 02,2014,kupata
ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
|
Ushindi huo, unaifanya Simba SC ifikishe pointi 35 baada ya kucheza mechi
19 na kuendelea kubaki nafasi ya nne nyuma ya Mbeya City yenye pointi 36,
Yanga pointi 38 na Azam FC pointi 40 kileleni.
No comments:
Post a Comment