Tazama Picha 9 za Mji wa Ngara hii leo March 28, 2014,ukitawaliwa na Ukungu mkali na hatimaye Mvua kunyesha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 28, 2014

Tazama Picha 9 za Mji wa Ngara hii leo March 28, 2014,ukitawaliwa na Ukungu mkali na hatimaye Mvua kunyesha.

 Picha hizi zinauonesha mji wa Ngara,mkoani Kagera ukikumbwa na hali ya hewa ya ukungu mkali uliombatana baadae na Mvua kunyesha katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Ngara.



Inaelezwa kwamba  kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu wa mazingira unaofanya na baadhi ya wakazi wa wilaya ya Ngara ,uharibifu ambao umekuwa ukichangia Mji huo kubadilika kwa kupoteza uasilia wake kila siku.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad