![]() |
|
Hii ndiyo
hali halisi msafara wa viongozi hao ukielekea kijiji cha Kirumbi kwa ajili ya
mkutano wa kampeni kijijini hapo.
|
![]() |
|
Ukaguzi wa
barabara ukifanyika kabla ya kupita.
|
![]() |
|
Moja ya
magari tuliyotumia likipita katika madimbwi makubwa.
|
![]() |
|
Gari hili
likiwa limekwama na likisukumwa ili kunasua katika dimbwi la matope.
|
![]() |
|
Juhudi
zikifanyika kunasua gari lililokwama.
|
![]() |
|
Safari
kuelekea kwenye magari
|
![]() |
|
Hapa mambo
yamekaa sawa tunakunja vifaa na kunang'oa nanga.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-KIBINDU-CHALINZE)
|













No comments:
Post a Comment