| Kikosi cha Simba SC. |
Klabu ya
Simba SC imeendeleza wimbi lake la ushindi katika mechi zake za Ligi kuu soka
Vodacom Tanzania bara 2013/2014,baada yah ii leo kuwachapa wapinzani wao JKT
Ruvu bao 2-0 katika mchezo huo uliochezwa (Septemba 29,2013) katika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya
Simba SC leo yamefungwa kwa njia ya penati na
Amisi Tambwe dakika ya 25 na la goli la pili kupitiaa kwa Singano!!!!!!
a.k.a Messi.
Hapo jana
(Septemba 28,2013) Mabingwa Watetezi wa Ligi kuu soka Vodacom, Yanga SC
walipata ushindi wao wa pili tangu Ligi ianze kwa kuichapa Ruvu Shooting Bao
1-0 huko Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Yanga
walipata Bao lao hilo katika Dakika ya 63 Mfungaji akiwa Hamisi Kiiza
alieunganisha krosi ya Mrisho Ngassa ambae leo ameichezea Yanga kwa mara ya
kwanza tangu amalize Kifungo chake cha Mechi 6 na Kulipa Shilingi Milioni 45
kwa Simba kama alivyoamriwa na TFF.
Ushindi huu
umeifanya Yanga ikamate Nafasi ya 3 sasa wakiwa na Pointi 9 kwa Mechi 6 wakiwa
Pointi 1 nyuma ya Timu ya Pili Coastal Union ambao leo huko Mbeya walitoka Sare
ya Bao 1-1 na Mbeya City.
Jumamosi
Septemba 28,2013.
Yanga 1 Ruvu
Shooting 0
Rhino
Rangers 0 Kagera Sugar 0
Mbeya City 1
Coastal Union 1
Mgambo JKT 0
JKT Oljoro 0
VPL
2013/2014 –MSIMAMO.
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GD
|
GF
|
POINTI
|
1
|
Simba SC
|
5
|
3
|
2
|
0
|
9
|
13
|
14
|
2
|
Kagera Sugar
|
6
|
3
|
2
|
1
|
4
|
7
|
11
|
3
|
Coastal Union
|
6
|
2
|
4
|
0
|
3
|
6
|
10
|
4
|
Yanga SC
|
6
|
2
|
3
|
1
|
4
|
10
|
9
|
5
|
JKT Ruvu
|
5
|
3
|
0
|
2
|
4
|
6
|
9
|
6
|
Azam FC
|
5
|
2
|
3
|
0
|
3
|
8
|
9
|
7
|
Ruvu Shooting
|
6
|
3
|
0
|
3
|
2
|
6
|
9
|
8
|
Mbeya City
|
6
|
1
|
5
|
0
|
1
|
7
|
8
|
9
|
Rhino Rangers
|
7
|
1
|
5
|
1
|
0
|
7
|
8
|
10
|
Mtibwa Sugar
|
5
|
1
|
3
|
1
|
-1
|
4
|
6
|
11
|
JKT Oljoro
|
6
|
1
|
2
|
3
|
-2
|
3
|
5
|
12
|
Mgambo JKT
|
6
|
1
|
2
|
3
|
-8
|
2
|
5
|
13
|
Prisons FC
|
5
|
0
|
3
|
2
|
-6
|
2
|
3
|
14
|
Ashanti United
|
6
|
0
|
1
|
5
|
-11
|
2
|
1
|





No comments:
Post a Comment