Cheki Taswira ya Mtoko wa Wafanyakazi wa Kituo cha Redio Kwizera FM- Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 13, 2013

Cheki Taswira ya Mtoko wa Wafanyakazi wa Kituo cha Redio Kwizera FM- Mkoani Kagera.

Mtoko  huo wa Wafanyakazi wa Kituo cha Redio Kwizera FM- Mkoani Kagera ulianzia Mji wa Mugoma ,Mugikomero kisha kwenye ukumbi wa Hotel ya Tumaini Letu Mjini Kabanga-Ngara ambako pamoja na mambo mengi kulifanyika pia tukio la Kumkaribisha Bw.Shemeji-mme wa Mfanyakazi mwenzetu Beatha Petter Kisaka aliyeuaga ukapela Septemba Mosi,2013.


Hapa ni eneo la Mugikomero  ambalo ni mpaka wa Wilaya ya Ngara nchini Tanzania na mpaka wa wilaya ya Giterenyi nchini Burundi na hao ni baadhi ya wadau wakubwa wa Radio Kwizera waki show Love na Wafanyakazi wa kituo cha Radio Kwizera FM Septemba 07,2013.

..........Kama ...kawa....moja moto...moja prim......zikazungushwa hapo hapo mpakani....


Pamoja na vituko vyote vilivyoambatana na furaha ya kukutana ...ila hii ya Hamis Mkama....ilivunja rekodi na mrija wake...........

Ni....mwendo wa  wadau hawa wa RK FM ...wa.....nani.....kamwaga pombe......yangu......naulizaaaaaaaaa.....

........taratibuuuuu..........Mwana wa Makonda......nilikuwepo kuwakilisha......kimiondoko .......ya.....nyuma yangu ni Kaimu fundi mkuu na Producer Yohana Bitta.

Ukafika muda wa msosi.......Daaaa........meza ilitakata ile mbaya....watu wakachichana ....kwa raha zao.....




Hapa ni kutafuta tuu.......Shabani Ndyamukama,Dotto J.Bahemu na mwisho kushoto Seif O.Upupu..


Mwenyekiti wa Kamati ya starehe na maafa Mr Donatus akipata mlo.....pembeni yake ni Omary Mbwambo toka Radio Kwizera -Kasulu na mwisho Boaz Zobanya toka Radio Kwizera -Ngara  wakiwa kwenye ukumbi wa Hotel ya Tumaini Letu Mjini Kabanga-Ngara ambako pamoja na mambo mengi kulifanyika pia tukio la Kumkaribisha Bw.Shemeji-mme wa Mfanyakazi mwenzetu Beatha Petter Kisaka aliyeuaga ukapela Septemba Mosi,2013.



.......Hii nayo kutoka kwa Madam Joyce Ngallawa ilifunika ile mbaya .....ni mwendo wa Kiboda boda......haaaaaa......

Hapo sasa...si kumixing studioni tu....hata kulikwaito uwanjani.....jamaa wakajimwaga wakiongozwa na ...Omary Mbwambo....kufurahisha.......

Juu ni Boaz Zobanya aka Bozo na ......picha chini ni Mwana wa Makonda......... tuliwajibika kuhakikisha mixing na fleva zinalindima vema kwenye spika ......watu wakachizika ile mbaya...... kwenye ukumbi wa Hotel ya Tumaini Letu Mjini Kabanga-Ngara ambako pamoja na mambo mengi kulifanyika pia tukio la Kumkaribisha Bw.Shemeji-mme wa Mfanyakazi mwenzetu Beatha Petter Kisaka aliyeuaga ukapela Septemba Mosi,2013.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad