Neymar Da Silva rasmi Camp Nou baada ya kufaulu vipimo na kujiunga na FC Barcelona kwa Mkataba wa Miaka Mitano. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, June 04, 2013

Neymar Da Silva rasmi Camp Nou baada ya kufaulu vipimo na kujiunga na FC Barcelona kwa Mkataba wa Miaka Mitano.


Neymar Da Silva akiingia rasmi Camp Nou baada ya kufaulu vipimo leo (Juni 03,2013) hii na kujiunga na Barcelona kwa mkataba wa miaka mitano.










FC  Barcelona imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Mbrazil Neymar baada ya kutua katika klabu hiyo leo(Juni 03,2013).



Mbrazil huyo anaungana na wakali kama Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves Barcelona akiwa anapewa nafasi ya kufuata nyayo za Wabrazil wengine waliotikisa Ulaya.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad