Chelsea ikiwa nyumbani Stamford Bridge imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na wageni wake Tottenham Hotspurs. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, May 09, 2013

Chelsea ikiwa nyumbani Stamford Bridge imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na wageni wake Tottenham Hotspurs.




Chelsea sare  2-2 na Tottenham Hotspurs
Matokeo ya sare ya 2-2 Uwanjani Stamford Bridge kati ya Chelsea na Tottenham Jumatano Usiku(May 8,2013)  imezua balaa kubwa kwa Timu hizo pamoja na Arsenal katika vita ya kutafuta Timu mbili zitakazoungana na Mabingwa wa Ligi kuu soka nchini Uingereza ,Manchester United na Manchester City kucheza UEFA Champions League Msimu ujao wa 2013/2014. 




Mchezo huo ulioonekana ungetoa dira ya nani atashika nafasi ya tatu, umezidisha ugumu kwa kuwa Chelsea wamefikisha pointi 69 wakiwa nafasi ya tatu, wanafuatiwa na Arsenal wenye 67 na Spurs nafasi ya tano wakiwa na 66.




MSIMAMO TIMU ZA JUU- BINGWA TAYARI NI MANCHESTER UNITED.


NA TIMU P GD PTS
1 Man Utd 36 42 85
2 Man City 36 31 75
3 Chelsea 36 34 69
4 Arsenal 36 31 67
5 Tottenham 36 18 66
6 Everton 36 14 60
7 Liverpool 36 25 55


Fahamu *TIMU 4 ZA JUU ZITACHEZA  UEFA Champions League  NA YA 5 KUINGIA EUROPA  League.



 Ratiba Mechi muhimu:


-11 Mei,2013 - Aston Villa v Chelsea



-12 Mei, 2013 - Stoke v Tottenham



-14 Mei, 2013 - Arsenal v Wigan



-19 Mei, 2013 - Chelsea v Everton, Newcastle v Arsenal, Tottenham v Sunderland





BARCLAYS PREMIER LEAGUE   RATIBA



Jumamosi Mei 11,2013.




[Saa 8 Dak 45 Mchana]




Aston Villa v Chelsea





Jumapili Mei 12,2013.




[Saa 9 na Nusu Mchana]




Stoke v Tottenham




[Saa 11 Jioni]




Everton v West Ham



Fulham v Liverpool



Norwich v West Brom



QPR v Newcastle



Sunderland v Southampton





[Saa 12 Jioni]




Man United v Swansea





Jumanne Mei 14,2013.




[Saa 3 Dak 45 Usiku]




Arsenal v Wigan





[Saa 4 Usiku]




Reading v Man City





Jumapili 19 Mei



***MECHI ZA MWISHO ZA LIGI MSIMU HUU




[Saa 12 Jioni]




Chelsea v Everton



Liverpool v QPR



Man City v Norwich



Newcastle v Arsenal



Southampton v Stoke



Swansea v Fulham



Tottenham v Sunderland



West Brom v Man United



West Ham v Reading



Wigan v Aston Villa




 MSIMAMO.


NA TIMU P GD PTS
1 Man Utd 36 42 85
2 Man City 36 31 75
3 Chelsea 36 34 69
4 Arsenal 36 31 67
5 Tottenham 36 18 66
6 Everton 36 14 60
7 Liverpool 36 25 55
8 West Brom 36 0 48
9 Swansea 36 0 46
10 West Ham 36 -8 43
11 Stoke 36 -10 41
12 Fulham 36 -11 40
13 Aston Villa 36 -21 40
14 Southampton 36 -11 39
15 Sunderland 36 -12 38
16 Norwich 36 -22 38
17 Newcastle 36 -23 38
18 Wigan 36 -23 35
19 Reading 36 -26 28
20 QPR 36 -28 25


**QPR & READING TAYARI ZIMESHUKA DARAJA.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad