Watu
wawili Mwanaume na mwanamke
wanaotuhumiwa kwa Utapeli wameambulia kichapo kikali kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya
kugundulika wanataka kumtapeli Mama
mmoja kwa kutumia mbinu ya kumuonyesha DHAHABU FEKI kwa madai kwamba wao ni
wageni mjini na wanahitaji msaada wa pesa wao wakupe hiyo dhahabu ikiwa
imefungashwa kwenye kifuniko angavu na kitambulisho cha udhibitisho,kama
utakavyo ona pichani.
Wakati bado matapeli hao wanaeneleza mchakato wa kumpa somo huyo mama,akatokea msamalia mwema aakasaidia kumuelewesha kwa lugha nzuri kuwa jamaa wanataka kumuibia.
Askari
Polisi wenye dhamana ya kulinda Usalama wa Raia na Mali zao wanafika eneo la
tukio.
|
Umati mkubwa
wa mashuhuda wa tukio hili.
|
Moja ya
mbinu wanayo itumia ni pamoja na kuonyesha kitambulisho hiki pichani chenye maneno ya kutamanisha wakati
lengo lao ni kurekebisha tamaa yako!!
|
Picha na :http://www.bukobawadau.blogspot.com
No comments:
Post a Comment