Basi la Dar Express lanusurika kuanguka baada ya kuacha njia na kugonga ukingo wa barabara ya Chalinze - Segera . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, November 14, 2012

Basi la Dar Express lanusurika kuanguka baada ya kuacha njia na kugonga ukingo wa barabara ya Chalinze - Segera .



Basi la Dar Express lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda mkoani Arusha lilinusurika kuanguka baada ya kuacha njia na kugonga ukingo wa barabara ya Chalinze - Segera kama linavyoonekana katika picha.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad