Waliotekwa ni Josephat
Maimu, Shukuru Benet na Noel Godfrey ambao walikuwa wakisafiri kuelekea
kahama katika shughuli za kawaida .
Mmoja wa majeruhi hao Josephat Maimu amesema kabla ya tukio hilo kutokea aliona magari
mawili yakiwa yamesimama na kudhani kuwa magari hayo yalikuwa yameharibika.
|
Josephat Maimu akiwa katika
hospitali ya wilaya kibondo baada ya kujeruhiwa na majambazi katika poli la
kanembwa kibondo (picha na james jovin).
|
Muuguzi wa zamu katika
hospitali ya wilaya ya kibondo Bi Christina Samizi amesema majeruhi hao
wanaendelea kupata matibabu.





No comments:
Post a Comment