Mwanamke Mbaroni Kwa Kufanya Mapenzi na Mbwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 28, 2012

Mwanamke Mbaroni Kwa Kufanya Mapenzi na Mbwa.


Mwanamke aliyetiwa mbaroni  akificha sura yake wakati akitoka mahakamani.

Mwanamke mmoja mkazi wa Pretoria nchini Afrika Kusini amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ukatili kwa wanyama baada ya kugundulika kuwa kwa muda mrefu amekuwa akifanya mapenzi na mbwa wake wawili.

Mwanamke huyo mzungu mwenye nywele za hudhurungi alitiwa mbaroni siku ya jumatatu baada ya malalamiko ya mwanamke huyo kufanya mapenzi na mbwa kupelekwa kwenye taasisi ya kulinda wanyama.


Kwa mujibu wa vyanzo vya polisi, mtu mmoja ambaye hakutaka kugundulika alipeleka DVD ya mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa kwenye taasisi ya kutetea haki za wanyama ambayo iliamua kupeleka suala hilo polisi.


Polisi walipewa kibali cha kuisachi nyumba ya mwanamke huyo ambapo DVD nyingi sana za mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa zilipatikana.


"Inavyoonekana alikuwa akirekodi video za mapenzi yake na mbwa kwa muda mrefu sana. Alitiwa mbaroni muda mfupi baada ya nyumba yake kusachiwa", kilisema chanzo cha polisi.


Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani siku ya alhamisi ambapo hakimu aliamuru mwanamke huyo apimwe akili zake kabla ya kesi hiyo haijaendelea zaidi.


Akitoka mahakamani baada ya kulipiwa dhamana na rafiki yake wa kiume, mwanamke huyo alijificha sura yake kwa kutumia gazeti ili waandishi wa habari wasimpige picha.


Mbwa waliokuwa wakifanya mapenzi na mwanamke huyo wamechukuliwa na kupelekwa sehemu nyingine kwa uchunguzi zaidi.


Chanzo: nifahamishe.com


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad