Maonyesho ya Wakulima Nane nane 2012 mkoani Kagera kufanyika Katika Uwanja wa Kyakailabwa . - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, August 03, 2012

demo-image

Maonyesho ya Wakulima Nane nane 2012 mkoani Kagera kufanyika Katika Uwanja wa Kyakailabwa .

.com/simgad/
16

Shamba bora la Mihogo.

Wananchi wa Mkoa wa Kagera mnaombwa kushiriki katika maadhimisho ya maonyesho ya NANE NANE mwaka 2012 Katika uwanja wa Kyakailabwa nje kidogo ya mji wa Manisaa ya Bukoba.

 

 

Maonyesho hayo yameanza leo tarehe 01/08/2012 na yataendelea mpaka kilele ambacho ni tarehe 08/08/2012 na kwamba  Uzinduzi rasmi utafanyika tarehe 03/08/2012 siku ya Ijumaa kuanzia asubuhi saa 3:00.


15

Shamba bora lililofata kanuni za kilimo likiwa limepandwa mahindi na maharage.


Katika maonyesho hayo yanayoshirikisha wadau mbalimbali kutoka katika mkoa mzima wa Kagera huonyesha shughuli mbalimbali za kilimo, biashara, ujasiliamali pamoja na burudani mbalimbali.

 

Wananchi mnakumbushwa kwenda kujionea mambo mbalimbali katika uwanjwa huo wa Kyakailabwa pamoja na kuwapeleka watoto kujionea wanyama mbalimbali, pia na kujiapatia huduma za kununua bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu sana na kujifunza shughuli  mbalimbali za ujasiliamali na kilimo, tafadhali usipoteze nafasi hii katika msimu wa Nane Nane 2012.

 

 

Imetolewa na:            Sylvester Raphael,

                                    Afisa Habari Mkoa,

                                    Kagera.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *