Taswira Picha Ujenzi wa Shule ya IHUNGO Sekondari Bukoba,Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, March 26, 2018

Taswira Picha Ujenzi wa Shule ya IHUNGO Sekondari Bukoba,Kagera.

Muonekano wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Ihungo kwa sasa.Picha Na Faustin Rutta-Bukoba.
 
Serikali ya Tanzania ilichukua Uamuzi wa kuijenga shule hiyo ya Ihungo Sekondari upya iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi la 10 Septemba mwaka 2016, ambapo lilipelekea Serikali kuifunga na kuwahamisha wanafunzi waliokuwa wanasomea katika shule hiyo ya Sekondari Ihungo na ile ya Nyakato ili waweze kuendelea na masomo wakati shule zao zinajengwa upya.


Kukamilika Ujenzi wa Shule hizo,Utaifanya kuwa na Muonekano mzuri wa Kuvutia kama Pichani Majengo yake Yanavyoonekana.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad