|
Aidha
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara Erick Nkilamachumu (pichani) alisema Maafisa Biashara na Mapato wamesambazwa
kila tarafa kufanya kazi ya kukusanya mapato ya ndani ili kupata fedhas za
kuboresha huduma za kijamii.
Nkilamachumu amewataka wafanya biashara wa aina
mbalimbali wakiwemo wa mazao kuhakikisha wanalipia mapato ya serikali kwa
kukata leseni zao , kulipia majengo kwa taratibu za halmashauri hiyo vinginevyo
watafikishwa mahakamani.
|
Tuesday, March 27, 2018
Picha - Anaswa akisafirisha mazao bila Kulipia Mapato.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment