
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha
kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na
mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto).
Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni
katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio
pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake
Monica wa kwanza kushoto.
Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha
Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
PICHA NA IKULU
|








No comments:
Post a Comment