Mvua zinazonyesha Jiji la Dar es Salaam Kama ilivyo Kawaida, Mvua hiyo iliharibu Miundombinu ya Usafiri ya Maeneo kadhaa, ikisababisha baadhi ya Barabara kutopitika na mitaro na barabara kadhaa kujaa maji. Picha zote na Iman Nsamila.
No comments:
Post a Comment