![]() |
|
Rais wa
Tanzania ,Dkt. John Pombe Magufuli.
Tarehe kama
ya leo, October 29, 1959, Rais mteule wa Taifa
la Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli alizaliwa.
MakondaMedia , Inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akulinde, akupe afya
njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha Uongozi wako.
Rais Magufuli alishinda Urais wa Tanzania October
25, 2015 akijipatia kura 8,882,935 ikiwa ni aslimia 58.46 huku mpinzani wake wa
karibu Edward Lowassa wa chama cha CHADEMA akijipatia kura 6,072,848 ikiwa ni
asilimia 39.97 ya kura zote.
Kura
402,248 ziliharibika.
HAPA CHINI NIMEKUWEKEA BAADHI YA VIONGOZI WALIOJITOKEZA KUMTAKIA HERI RAIS MAGUFULI KUPITIA AKAUNTI ZAO ZA MITANDAO YA KIJAMII.
|










No comments:
Post a Comment