


![]() |
Alisema
serikali imelazimika kutumia mitumbwi kufanya shughuli za uakoaji katika maeneo
ya kandokando ya mto Kanoni yaliyoathirika Zaidi kwa kutumia kikosi cha zima
moto ( fire ) Bukoba.
Mpaka sasa
Tathimini inaendelea kufanywa Zaidi ili kujua athari ya mafuriko hayo.
|













No comments:
Post a Comment