|
Barabara ya Benaco-Rusumo
na hapa ni eneo la Benaco,Kata ya Kasulo wilayani Ngara mkoani Kagera,mambo yalikuwa
namna hii,wenye magari makubwa walipita kwa staili ya tahadhali baada ya
mvua kunyesha na eneo hilo kujaa matope mazito na yenye utelezi sambamba na madimbwi ya maji kandokando ya barabara hiyo na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambalo kwa muda sasa huwa
linajaa magari njia nzima likitumika kama eneo la kuegesha au kupaki magari makubwa ya mizigo yatokayo na kwenda nchi Jirani ya
Rwanda.
|
No comments:
Post a Comment