|
Chelsea
ambao ni Vinara wa Ligi Kuu England, wanaongoza sasa Pointi 12 mbele baada ya
kuwatandika Arsenal 3-1 wakati Liverpool wakinyukwa 2-0 na Hull City huku
Everton ikiibandika Bournemouth 6-3 na Sunderland waliokuwa Ugenini, kuinyuka
Crystal Palace 4-0.
Bao la
penati ya Dakika ya 54 ya Harry Kane ,
iliwapa Tottenham Hotspur ushindi wa 1-0 dhidi ya Middlesbrough wakiwa kwao
White Hart Lane na Matokeo hayo yamewachimbia Spurs Nafasi ya Pili wakiwa
Pointi 9 nyuma ya Vinara Chelsea.
Na hapa ni
Msimamo ulivyo baada ya Mechi za Jana February 05, 2017.
|
No comments:
Post a Comment