![]() |
|
Takwimu zilizotolewa na
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Watoto na Wazee nchini zinaonyesha
kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya
jinsia moja
Akiongea na waandishi
wa habari jana,Julai 19,2016 jijini Dar es salaam Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu
alisema kutokana na hali hiyo Wizara imepiga marufuku matumizi ya vilainishi
vinavyotumiwa na baadhi ya makundi yanayo jihusisha na vitendo hivyo.
Mhe. Ummy Mwalimu
alisisitiza kuwa Serikali imeamua kuzuia vilainishi hivyo kwani vimetajwa
kuchochea vitendo hivyo ambavyo nikinyume na sheria na taratibu za nchi
nakuongeza kuwa vitendo hivyo nimiongoni mwa sababu inayochangia ongezeko la
VVU.
Aidha Mhe. Ummy alisema
kuwa kwa sasa Serikali inajikita kuhakikisha kuwa inajenga wodi za wazai,
kununua vifaa tiba, madawa ya kutosha katika hosptali zake na sio ununuzi wa
vilainishi hivyo.
|
Wednesday, July 20, 2016
Home
HABARI
WIZARA YA AFYA TANZANIA:-Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja .
WIZARA YA AFYA TANZANIA:-Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja .
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment