Picha ya Pamoja ya
Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
|
Mgeni rasmi katika
Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi
wa Jeshi Polisi mstaafu, Jamal Rwambow akiogea machache na amekitaka
chama hicho kujali maendeleo ya jamii ya cha hicho kinachowajumuisha
wzawa na waliowahi kuishi na wanaoishi eneo lote la Kariakoo jijini Dar es
salaam kwa lengo la kushirikiana mambo mbalimbali ya limaendeleo na kijamii.
|
Mwenyekiti wa kariakoo
family development fund mh.mohamed bhinda akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika
hivi karibuni katika Ukumbi wa City Lounge jijini Dar es Salaam.
|
Mwenyekiti wa Kariakoo
Family Development Foundation, Mohamed
Bhinda akiwa na Jamal Rwambow (mwenye suti nyeusi) wakikata keki mara baada ya
kuzindua umoja huo.
|
Wakongwe wa Kariakoo
Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed
wakiwa katika shoo ya Goju Ryu
Karate katika uzinduzi wa Kariakoo Family
Development Foundation.
|
Mkurugenzi wa MMG,
Ankal Muhidin Issa Michuzi akilishwa keki katika uzinduzi wa Kariakoo Family
Development Foundation.
HAPA CHINI BOFYA
KITUFE CHEKUNDU KUTAZAMA VIDEO YA UZINDUZI WA TUKIO HILO ZAIDI.
|
No comments:
Post a Comment